Date | 2008-11-15 |
Message | Asante sana mumyhery nafurahi kusikia imekufurahisha,usichoke kutembelea! Karibu tena |
Date | 2008-11-14 |
Message | hi sohpie, blog ni nzuri mno, imetulia mwana wane kaza buti |
Date | 2008-05-27 |
Message | kusema ukweli sina la kusema sana ila unatest nzuri sana na keep it up...i wil ad u in ma blog now..sheria |
Date | 2008-05-06 |
Location | |
Message | woow Sophia, This is so wonderful Hongera sana mpenzi...Uko juu sana.Vipi Baby shemeji na baby hawajambo? Salaam |
Date | 2008-04-29 |
Message | Thanks everybody for your sweet messages and also for stopping by.Karibuni tena msiadimike (smiling) |
Date | 2008-04-24 |
Location | |
Message | Hi Sophie, Mambo? Nimefurahi sana kuona una blog nzuri kama hii. Mumeo na mwanao hawajambo? Salam Rukia |
Date | 2008-04-23 |
Location | |
Message | Hi Sophie, Mambo vipi. Nashukuru kwa hii addictive blog manake nisipoingalia napata withdrwal syndromes!! asante sana keep it up |
Date | 2008-04-22 |
Location | |
Message | hi. sophie.keep it up. your ideas are so good.i will send you other and many decorations.ciaoooo! |